Description:
TUNAUZA DRIP IRRIGATION PIPE | MIPIRA INAYOTUMIKA KWENYE UMWAGILIAJI WA MATONE
Call/Text/WhatsApp: 0787 29 95 05
Urefu ni 1,000m
Bei ni 200,000Tsh
Vipimo
-1000m, 30cm spacing. K1600
-1000m, 20cm spacing. K1800
- Thickness 0.4mm
Drip irrigation pipe ni mipira inayotumika kwenye kilimo cha mwagiliaji wa matone, yaani Drip irrigation system.
Umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya dripu zinazomwaga matone kidogo kidogo.
1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.
2. Mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.
3. Unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.
4. Ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.
5. Inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.
Licha yaa kuuza drip pipe, Mapande agriculture advantage tunatoa huduma ya kufunga mifumo mbalimbali ya umwagiliaji.
#dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationpipe #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa #dripirrigationpipes #umwagiliajiwamatone
Office zetu zipo @mbagala rangi 3 -Barabara ya kwenda kongowe puma Petro station @opposite na Daraja la juu mbagala rangi 3 - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
255 787 299 505(WhatsApp)
255 620 613 260
Email:mapandefarm@yahoo.com
SAFETY FOR ALL : MUST LOGIN OR SIGNUP TO VIEW THE PHONE NUMBER !
Mention UMOJAAA when calling the Ad owner to get a good deal!
This will also help build trust among all users of the platform.
Note: If you haven't found exactly what you're looking for, post your ad and mark it as: 'Wanted'. POST HERE