Inapakia…
0 0 Maoni
Waliotazama: 70

Mapande agriculture Advantages

Ardhi ya kilimo & Mazao > Mifumo ya Umwagiliaji

Udhamini Yes

Condition: Mpya

  • Unnamed Road, D...Tazama ramani
  • Ilichapishwa mnamo 16 August 2023

ID: 25188

TZS200,000.00

Zabuni Inaisha ndani ya
00
Siku
00
Saa
00
Dakika
00
Sekunde
  • Aina: Kuuza

Maelezo:

TUNAUZA DRIP IRRIGATION PIPE | MIPIRA INAYOTUMIKA KWENYE UMWAGILIAJI WA MATONE
Call/Text/WhatsApp: 0787 29 95 05
Urefu ni 1,000m
Bei ni 200,000Tsh
Vipimo
-1000m, 30cm spacing. K1600
-1000m, 20cm spacing. K1800
- Thickness 0.4mm
Drip irrigation pipe ni mipira inayotumika kwenye kilimo cha mwagiliaji wa matone, yaani Drip irrigation system.
Umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya dripu zinazomwaga matone kidogo kidogo.
1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.
2. Mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.
3. Unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.
4. Ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.
5. Inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.
Licha yaa kuuza drip pipe, Mapande agriculture advantage tunatoa huduma ya kufunga mifumo mbalimbali ya umwagiliaji.
#dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationpipe #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa #dripirrigationpipes #umwagiliajiwamatone
Office zetu zipo @mbagala rangi 3 -Barabara ya kwenda kongowe puma Petro station @opposite na Daraja la juu mbagala rangi 3 - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
255 787 299 505(WhatsApp)
255 620 613 260
Email:mapandefarm@yahoo.com

USALAMA KWA WOTE : LAZIMA INGIA AKAUNTI OR JISAJILI ILI KUPATA NAMBA YA SIMU!

Taja UMOJAAA unapompigia simu muuzaji kupata ofa nzuri!

Itasaidia pia kuanzisha uhusiano wa kuaminiana kati ya watumiaji wote kwenye jukwaa.

Kumbuka: Ikiwa haujapata kile unachotafuta, Chapisha Tangazo lako na uweke alama aina: 'INATAFUTWA'. CHAPISHA HAPA

 

Mahali:

Unnamed Road, Dar es Salaam, Tanzania

Aina la Zabuni

Jumla ya Zabuni 0
Zabuni ya juu zaidi TZS0.00
Zabuni ya chini kabisa TZS0.00

Zabuni:

*Nambari yako ya simu itaonyeshwa kwa mmiliki wa chapisho

    Andika maoni

    Chagua Faili Chagua Faili

    TZS200,000.00

    Zabuni Inaisha ndani ya
    00
    Siku
    00
    Saa
    00
    Dakika
    00
    Sekunde
    Vidokezo vya usalama kwenye UMOJAAA
    1. Wakati wote kukutana uso kwa uso - Kwenda na mtu pamoja nawe, pia kukutana katika mahali pa umma. Ikiwa muuzaji anakuja nyumbani kwako au mahali pa kazi, panga kuwa na mtu na umwombe mnunuzi akuonyeshe kitambulisho.
    2. Usiwahi kutuma pesa kwa njia ya waya, kidijitali kwa mtu usiyemjua au kumwamini.
    3. Kagua bidhaa kila wakati kabla ya kukubali mauzo.
    4. Tumia akili. Ikiwa kitu kinasikika kuwa kizuri sana kuwa kweli - labda ni sahihi, kwa hiyo kaa mbali nacho.
    5. Ni imani yetu kuwa aina hizi za uhamishaji fedha mitandaoni hupendelewa na walaghai, kwa hivyo usiihatarishe.
    6. Tumia akili kila wakati: Maelezo Zaidi. jinsi ya kukaa salama kwenye Soko la dijiti la UMOJAAA, BOFYA HAPA
    Android App
    Android App
    Juu