ID : 12477
Kitabu hiki kinaitwa ‘UAMINIFU’
Kitabu hiki kinaakisi kipengele muhimu cha watu katika maisha ya kila siku katika jamii zao husika:
Mambo haya ni: UAMINIFU KATIKA UPENDO, UAMINIFU MIONGONI MWA MARAFIKI NA UAMINIFU KAZINI.
Nunua kitabu hiki na nakuhakikishia kujifunza mambo mengi ambayo yatakusaidia katika maisha yako ya kila siku kati ya wenzako, familia, rafiki na wafanyakazi wenzako.
Aina: Play Script
Umri: Yoyote
Lugha: Kiswahili
Kurasa: 84
Mwandishi: Mary Joseph Muronko
Kuhusu Mwandishi: Kijana wa kike wa Kitanzania, Mwigizaji wa kuvutia na mahiri, mwandishi wa hadithi na vile vile mwandishi wa script play.
Ili kununua kitabu hiki, tafadhali wasiliana na Mwandishi: Mary Joseph Muronko
Barua pepe: maryshustajoseph85@gmail.com
simu/What’sapp: +255718999596
Vinginevyo:
Kwa maelezo zaidi na mazungumzo Tafadhali, wasiliana nami kwa mojawapo ya mbinu zinazotolewa na UMOJAAA kwenye ukurasa huu wa chapisho.
Chapisho hili pia linapatikana katika:
USALAMA KWA WOTE : LAZIMA INGIA AKAUNTI OR JISAJILI ILI KUPATA NAMBA YA SIMU!
Taja UMOJAAA unapompigia simu muuzaji kupata ofa nzuri!
Itasaidia pia kuanzisha uhusiano wa kuaminiana kati ya watumiaji wote kwenye jukwaa.
Kumbuka: Ikiwa haujapata kile unachotafuta, Chapisha Tangazo lako na uweke alama aina: 'INATAFUTWA'. CHAPISHA HAPA