KIWANJA KIZURI PIA KIKUBWA HUKO MADALE KINAHITAJI MILIONI 40 MAZUNGUMZOUkubwa wa mita za mraba 1028
Kiwanja kilichopimwa chenye alama ya Bicon
Hati ya Makubaliano ya Uuzaji
Kilomita 1 kutoka barabara ya madale
Umeme na maji yanapatikana
Ujirani Mwema
Kwa maelezo zaidi na mazungumzo Tafadhali, wasiliana nami kwa mojawapo ya mbinu zinazotolewa na UMOJAAA kwenye ukurasa huu wa chapisho.
Chapisho hili pia linapatikana katika:
USALAMA KWA WOTE : LAZIMA INGIA AKAUNTI OR JISAJILI ILI KUPATA NAMBA YA SIMU!
Taja UMOJAAA unapompigia simu muuzaji kupata ofa nzuri!
Itasaidia pia kuanzisha uhusiano wa kuaminiana kati ya watumiaji wote kwenye jukwaa.
Kumbuka: Ikiwa haujapata kile unachotafuta, Chapisha Tangazo lako na uweke alama aina: 'INATAFUTWA'. CHAPISHA HAPA