ID : 11343
NICE HOUSE YA MBWENI MOGA KWA MILIONI 320 MAZUNGUMZO
Ina vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom, sitting room, Jiko la Kisasa, Dining, Store na ndani ya public toilets, madirisha ya Aluminium, Milango ya Grill, Tiles, Gypsum, Imezungushiwa uzio, Lango Imara.
Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 1600, Hati miliki inapatikana
Piga simu/what’sapp: 0752111140
Vinginevyo:
Kwa maelezo zaidi na mazungumzo Tafadhali, wasiliana nami kwa mojawapo ya mbinu zinazotolewa na UMOJAAA kwenye ukurasa huu wa chapisho.
Chapisho hili pia linapatikana katika:
USALAMA KWA WOTE : LAZIMA INGIA AKAUNTI OR JISAJILI ILI KUPATA NAMBA YA SIMU!
Taja UMOJAAA unapompigia simu muuzaji kupata ofa nzuri!
Itasaidia pia kuanzisha uhusiano wa kuaminiana kati ya watumiaji wote kwenye jukwaa.
Kumbuka: Ikiwa haujapata kile unachotafuta, Chapisha Tangazo lako na uweke alama aina: 'INATAFUTWA'. CHAPISHA HAPA