MBEZI BEACH TANGI BOVU NYUMBA KWA MILIONI 100 TZS TU
Nyumba ina vyumba 3, kimoja master, Sebule na jiko zuri,upande wa nyuma kuna vyumba 4 vya wapangaji, upande wa mbele kuna duka kama mini bar, imezungushiwa uzio mzuri na Gate.
Kiwanja kina ukubwa wa mita za mraba 550, hati ya leseni ya makazi
Kwa maelezo zaidi na mazungumzo Tafadhali, wasiliana nami kwa mojawapo ya mbinu zinazotolewa na UMOJAAA kwenye ukurasa huu wa chapisho.
Chapisho hili pia linapatikana katika:
USALAMA KWA WOTE : LAZIMA INGIA AKAUNTI OR JISAJILI ILI KUPATA NAMBA YA SIMU!
Taja UMOJAAA unapompigia simu muuzaji kupata ofa nzuri!
Itasaidia pia kuanzisha uhusiano wa kuaminiana kati ya watumiaji wote kwenye jukwaa.
Kumbuka: Ikiwa haujapata kile unachotafuta, Chapisha Tangazo lako na uweke alama aina: 'INATAFUTWA'. CHAPISHA HAPA