ID : 16103
Nyumba 2 katika kiwanja kimoja ziko sokoni
Ipo Mbweni jkt Jeshini road
ukubwa wa eneo ni SQM 1200
Zote mbili ni za kisasa na vyumba 3 kila moja
Hati miliki inapatikana
Zinahitaji TZS milioni 320 zinazoweza kujadiliwa
Ziko karibu na barabara kuu
Kwa maelezo zaidi na mazungumzo Tafadhali, wasiliana nami kwa mojawapo ya mbinu zinazotolewa na UMOJAAA kwenye ukurasa huu wa chapisho.
Chapisho hili pia linapatikana katika:
USALAMA KWA WOTE : LAZIMA INGIA AKAUNTI OR JISAJILI ILI KUPATA NAMBA YA SIMU!
Taja UMOJAAA unapompigia simu muuzaji kupata ofa nzuri!
Itasaidia pia kuanzisha uhusiano wa kuaminiana kati ya watumiaji wote kwenye jukwaa.
Kumbuka: Ikiwa haujapata kile unachotafuta, Chapisha Tangazo lako na uweke alama aina: 'INATAFUTWA'. CHAPISHA HAPA