Kuhusu UMOJAAA

Jukwaa moja la Soko kwa Waafrika wote: Tunaunganisha wauzaji na Wanunuzi chini ya paa moja.

The Umoja Auctions and Ads (UmojaAA) ni mfumo wa kidijitali ambapo kila kitukinathaminiwa ivyo. Afrika inazidi kuachilia uwezo wake hatua kwa hatua na teknolojia inakubaliwa kwa haraka na watu wote wabinafsi na pia wafanyabiashara. UMOJAAA inalenga kutoa soko moja ambapo Wanunuzi hukutana na Wauzaji.

HABARI ZAIDI HAPA

Shukrani zote ziende kwa timu inayofanya kazi kwa bidii nyuma ya tovuti hii ambayo inahifadhi jumuiya nzima ya Kiafrika. Usalama na uzoefu bora ni vipaumbele vyetu vya mbele na ahadi ya UMOJAAA kwako.

Hakuna MyUmojaAA Acc.-ujumbe kwa Mmiliki Hapo chini

Top